Shebbydo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,174
- 1,937
Habari wana bodi,
Hivi sasa kuna malalamiko mengi juu ya mabadiliko ya utaratibu wa shughuli za Bunge kuoneshwa live. Mimi kinachonishangaza ni baadhi ya watu hata Wabunge wenyewe wanaolalamikia jambo hili kutokujua ni nani anastahili kuulizwa na kulalamikiwa.
Mimi ninavyofahamu ni Bunge lenyewe ndilo limebadili mfumo wa matangazo yake kurushwa. Bunge limeanzisha Studio yake ambapo ndipo vyombo vingine vitakapokuwa vikichukulia matangazo, kwa TV na Radio. Waandishi wamagazeti wao haina shida.
Sasa kwa nini watu wanalia na JPM? Bunge si taasisi inayojitegemea?
Mbowe muulize Ndugai akupe majibu. JPM ana mamlaka na TBC, aliyezuia vyombo vingine kuingiza mitambo Bungeni ni Bunge.