Kwa bajeti ya Afya hakuna kipengere cha bajeti ya dharura ya Corona. Ndio maana wanaomba michango. Na awamu hii haioni corona kama ni tatizo kwa raia

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Hotuba nzima ya ummy page 206 ni blah blah tu ! Kaongelea Corona page 43-48 tena anaongelea historia ya corona sijui nini!
👉wapi kaomba hela mahsusi kupambana na corona?
👉wapi kaainisha mkakati wa serikali kupambana na corona?
Hawako serious kabisa! Halafu wanaomba michango?

Screenshot_20200502-183646.png
Screenshot_20200502-183635.png
Screenshot_20200502-183611.png
Screenshot_20200502-183607.png
 
Back
Top Bottom