Nikikumbuka huwa nasikitika sana,hivi tuna wizara ya afya yenye wasomi,hivi tuna maabara za utafiti wa madawa ya binadamu,vyuo vikuu vyetu vina watafiti wa madawa ?hivi hii NIMR(national institute of medical research)ipo ?,Babu kawapoteza wengi,Mama yangu mdogo alikuwa na kansa ya kizazi kwa miaka 4,alipoenda kwa babu kanywa kikombe kaamini amepona kaacha kutumia dawa,alifariki gafla kwenye basi njiani akitoka moshi kuja Dar es salaam