Kwa baadhi ya wateja wa vodacom.

Kwa baadhi ya wateja wa vodacom.

Fareal

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
825
Reaction score
267
"""INTANETI BURE! Vodacom imekuzawadia GB1 YA INTANETI BURE, utumie ndani ya SIKU 7. Bonyeza *147*47# na uanze kuperuzi sasa! Vodacom Kazi ni kwako.""""
,,,
..
..KAMA NAMBA YAKO NI BAADHI YA HIZO NAMBA ZILIZOCHAGULIWA,,baad ya kupiga *147*47# utapokea ujumbe huu,......
..
"""HONGERA! Sasa unaweza kutumia intaneti hadi GB1 KWA SIKU 7 BURE kisha matumizi yatatozwa bei ya kawaida. Vodacom Kazi ni kwako"""
..
jaribuni wakuu,,,!!!!!
 
kwahiyo --------- kwanza message au ukibonyeza tu *147# wanakupa taarifa kama una hiyo ofa au lah?
 
kwahiyo --------- kwanza message au ukibonyeza tu *147# wanakupa taarifa kama una hiyo ofa au lah?
,,mm nna line 2 za voda,,,1 waln2mia msg bt kweny hyo ya pili hawak2ma,,,ila ilvyopiga *147*47# wakanipa hyo 1Gb.
 
,,mm nna line 2 za voda,,,1 waln2mia msg bt kweny hyo ya pili hawak2ma,,,ila ilvyopiga *147*47# wakanipa hyo 1Gb.

Hii trick inafanya kazi kwa baadhi ya SIM CARD mm nina line tatu zote huwa zinagoma lakini jamaa wangu mdebwedo tu
 
daah nilishasahau kabisa haka kaofa nilipewa juzi, asante kwa kunikumbusha
 
Back
Top Bottom