donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
Salam wakuu, nimecheza fps nyingi sana kwenye simu Ila my favourite sequel ilikua ni MC3,MC4 na MC5. Baada ya hapo games nyingine nlicheza kama agent 47, sniper etc. Lakini hazikukidhi roho yangu. Jana usiku nikashusha mzigo wa COD strike team (ni mnazi wa COD kwenye all other platforms since COD1, CoD2, COD modern warfare, COD Black Ops etc.) Nione gameplay yake kwenye android.
Aisee graphics zimekaa mukide balaa, pia unachezesha watu wawili Kwa wakati mmoja. So exciting, kuna features kama drone mode unabaini adui alipo pia kila unapopanda cheo Una unlock silaha nyingine Bora zaidi. Hakika hii weekend lazima nilazime missions zote.