Kwa anayeujua wimbo huo msaada tafadhali

Bungabunga

New Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
3
Reaction score
0
kama kuna ambaye anakikumbuka kile kipndi kiitwacho club 10. kilichokua kinaendesha na perfect crispin kupitia clouds fm saa 4 mpka 6 mchna kila cku j mosi.sasa naomba jina la ile nyimbo iliyokua inapiga background ya tangazo la kipind..inaitwaje..kwa yeyote ajuye anijuze.
 
niliacha kusikiliza radio tangu niijue JF,wasikilizaji wa hizo radio watakuja kukujuza mkuu!
 
kama kuna ambaye anakikumbuka kile kipndi kiitwacho club 10. kilichokua kinaendesha na perfect crispin kupitia clouds fm saa 4 mpka 6 mchna kila cku j mosi.sasa naomba jina la ile nyimbo iliyokua inapiga background ya tangazo la kipind..inaitwaje..kwa yeyote ajuye anijuze.
nenda insta kamuulize perfecto mwenyewe
 
Nadhan utakua wa "rico & vinci" that's how u fucked up"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom