Kwa nayehitaji aje in boxSasa siuweke namba.
Wanaweza pata hisia tofauti ila uwo ndio ukweliTafuta mume ushakuwa mkubwa
Mume hatafutwi Mkuu, laa utajikuta unazini na Kijiji kizima kwa lengo la kutafuta mme.by the way wewe umejuaje kuwa Sina mme,Kuna sehemu nimesema sijaolewaTafuta mume ushakuwa mkubwa
hiyo ni personal attack inahusiana vipi na mada? Acha ubwegeTafuta mume ushakuwa mkubwa
Utani tu, don't take it seriousMume hatafutwi Mkuu, laa utajikuta unazini na Kijiji kizima kwa lengo la kutafuta mme.by the way wewe umejuaje kuwa Sina mme,Kuna sehemu nimesema sijaolewa
Mimi natafuta kazi jamani
Vp wewe ndo mtetezi wa wanyonge sio? Acha ufarahiyo ni personal attack inahusiana vipi na mada? Acha ubwege
tangu uolewe basi tabu tupuVp wewe ndo mtetezi wa wanyonge sio? Acha ufara
Unakazwa bila shaka, sio kwa kuzoea wanaume huko.tangu uolewe basi tabu tupu
acha kukata mauno umeolewa?Unakazwa bila shaka, sio kwa kuzoea wanaume huko.
Unamudu kazi zote za stationery? Mfano Kuprint, kutengeneza card mbalimbali, ku design logo na vipeperushi mbalimbali, kutengeneza business cards, vitambulisho, nk.Mume hatafutwi Mkuu, laa utajikuta unazini na Kijiji kizima kwa lengo la kutafuta mme.by the way wewe umejuaje kuwa Sina mme,Kuna sehemu nimesema sijaolewa
Mimi natafuta kazi jamani
Wakuu habari za leo, Mimi ni binti wa miaka 22 mwenye elimu ya kidato Cha nne, nimesomea kozi ya Human Resource Management, pia ninao ujuzi wa kutumia kompyuta pamoja kusimamia maswala ya steshenari .
Kutokana na uhaba wa ajira kulingana na kozi niliyosomea , niliamua kusoma kozi fupi ya computer applications, hivyo kwa mtu yeyeto anayetafuta mfanya kazi wa steshenari Mimi niko tayari, itapendeza zaidi kazi ikipatikana maeneo ya mikoa ya Mwanza, Geita , Simiyu na Musoma.
Kwa anayehitaji mfanyakazi anifate in box.
Nb sitaweka namba zangu za simu ili kuepuka usummbufu kwa watu wasio na nia njema.
Nawategemea sana ndugu zangu
Mlete moro bwana nitampokea mie vizuri tuuUnamudu kazi zote za stationery? Mfano Kuprint, kutengeneza card mbalimbali, ku design logo na vipeperushi mbalimbali, kutengeneza business cards, vitambulisho, nk.
Na ikitokea ofisi iko Dodoma au Moro utaweza kutoka huko uliko?
Kuprint, kutengeneza kadi naweza, Ila kutengeneza logo bado sijakuwa na huo utaalam.Unamudu kazi zote za stationery? Mfano Kuprint, kutengeneza card mbalimbali, ku design logo na vipeperushi mbalimbali, kutengeneza business cards, vitambulisho, nk.
Na ikitokea ofisi iko Dodoma au Moro utaweza kutoka huko uliko?