Water dispenser au nn zipo teeeele kama ni hiyo uko wapi
Kuna kile kifaa katikati kilichowekwa kopo la maji juu naweza kukipata wapi na bei zake, nitashukuru kwa msaada wenu.
Nipo TANDAHIMBA, utaniuzia bei gani?Water dispenser au nn zipo teeeele kama ni hiyo uko wapi
Milion nane mkuu, tukutane wapi kwa makabidhiano.Nipo TANDAHIMBA, utaniuzia bei gani?
mhhh...mkuu Milioni nane za Tanzania au Zimbambwe?Milion nane mkuu, tukutane wapi kwa makabidhiano.
Tuwasiliane mkuu, nitakuletea kutoka China moja kwa moja kama ukiweka oda kwa bei nafuu mno.
Kuna kile kifaa katikati kilichowekwa kopo la maji juu naweza kukipata wapi na bei zake, nitashukuru kwa msaada wenu.