Kwa anayejua makao makuu ya ofisi za mabasi ya Princess Muro

Ms Chuchu 5

Member
Mar 4, 2013
39
8
Aasalaamalkum,

Kwa yeyote anayejua ofisi za Princess Muro buses makao makuu naomba anielekeze kwa hapa Dar

Asante sana!
 
Angalia namba za simu kwenye tiketi zao unaweza wasiliana nao Mkuu.
 
Karibu na makao makuu ya mabasi yaendayo kasi pale kkoo kama sijakosea. Upande wa kushoto ukitokea kkoo
 
Back
Top Bottom