hapo kwenye ulokole si nitamsababishia tornado......tuhesabu nimemkosa......kwa leo.....
Mwenyeji huyo..Hana ugeni wowote....Karibu sana, ila post ya kwanza wenzio wanaanza kusalimia...... (kuzuga tu ili wajulikane wapo), lol!
mimi sitafuti mchumba, mimekuja kukukaribisha tu na kukutakia kila la heri katika utafutaji wako......
umeshajua jinsi ya kusoma na kutuma PM? maana tegemea majibu huko PM
mimi hapa 2wasiliane
Hapo kwenye ulokole ndipo umeharibu mkuu....kwa nini usifunge bwana akuoteshe??
Hapo kwenye ulokole ndipo umeharibu mkuu....kwa nini usifunge bwana akuoteshe??