Kwa anayehitaji kiwanja chamanzi au mbande dar es salaam

Kwa anayehitaji kiwanja chamanzi au mbande dar es salaam

allysultani

Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
46
Reaction score
3
kwa anayehitaji kiwanja chamanzi au mbande dar es salaam vipo sehemu nzuri.0656 25 18 74.
 
Samahani kwa usumbufu mkubwa ila raha ya jamii forum ni kua kuna watu wa daraja la chini na la juu na wote tunapenda kujua thamani ya hivo viwanja na sio lazima kukupigia simu na ndo mana naomba ututajie bei ili tujue thaman yake na tujue kama tunaweza kuafford hiyo gharama aua hatuwez.

Ntashukuru sana kama utatoa ushirikiano.
 
Weka wazi kabisa bei na ukubwa ili usipate usumbufu
 
Back
Top Bottom