Kwa anayehigaji Software ya Window kwenye PC, Waweza kunicheki

Kwa anayehigaji Software ya Window kwenye PC, Waweza kunicheki

franco paul

New Member
Joined
May 4, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Helo guys

Kwa alie ndani na nje ya mkoa wa Mwanza na unatatizo la computer yako nicheki nitakuhudumia na kukupa ushauri juu ya kifaa chako pia tunazo window za aina zote yaani 7, 8, 8.1, na 10 all edition.

Bei ni poa kabisa ni 20000/= tu kwa kila window na pia tunapiga window kwa bei ya 10000/= na antivirus bei poa kwa mawasiliano nicheki

+255676666856
Au
Email. Kimsgroup7@gmail.com
Or. francopaul.fp6@gmail.com
 
Nje ya mkoa hyo window unanipigia vipi mfano nipo DSM naomba kuelekezwa maana yawezekana tulisoma zamani kwahyo now days ata kupiga window ni WIRELESS
 
Back
Top Bottom