DEGESWASWA
Member
- Apr 12, 2019
- 86
- 93
Kuna sehemu za beach na maeneo mengine ya kawaida sijui wewe unapendelea yepi mkuu ila kwa starehe kigamboni bado kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru, ngoja nianze fwatilia mahili zilipo hizo sehumu ulizo niambia1 Nolasco
2 Jembe1
Lazima roho yako isuuzike baada ya kutembelea viwanja hivyo
Vipi demu ulisema anakuroga vipi ameacha au ndo unataka uende nae huko?
Mishe mishe na watumishi Wa Mungu wapi na wapi
Haya sawa nenda mikadi beach urudi bila simu
Pa kijinga tu, washamba washamba tu, wamejaa wanuka jasho tu, yaani zile namba mboooovu kabisa kule kindondoni ndio zikija hapo zinaonekana visu, hovyo kabisa, hadi panakera1 Nolasco
2 Jembe1
Lazima roho yako isuuzike baada ya kutembelea viwanja hivyo
Kigamboni bado sana, baaado sana
Mbona weekend na sikukuu watu wanafurika Kivukoni na darajani kuelekea huko?Kuna sehemu za beach na maeneo mengine ya kawaida sijui wewe unapendelea yepi mkuu ila kwa starehe kigamboni bado kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
AseeHaya sawa nenda mikadi beach urudi bila simu
Au club kakala urudi na harufu za papuchi
Watu wanaelekea beach wewe, ikifika jioni kila mtu anarudi alikotoka kujiandaa na mtoko wa usiku huko sehemu za starehe kama Kinondoni, Masaki, Sinza, sio huku poriniMbona weekend na sikukuu watu wanafurika Kivukoni na darajani kuelekea huko?
Sasa starehe si pamoja na beach au umekariri starehe ni pombe na malaya tu viwanja vya kino,sinza,Masaki?Watu wanaelekea beach wewe, ikifika jioni kila mtu anarudi alikotoka kujiandaa na mtoko wa usiku huko sehemu za starehe kama Kinondoni, Masaki, Sinza, sio huku porini
Unajua mimi huwa najadili hoja kama ilivyoletwa, soma heading ya mtoa mada.Sasa starehe si pamoja na beach au umekariri starehe ni pombe na malaya tu viwanja vya kino,sinza,Masaki?
Neno Malaya ndio linakuchanganya? Beach hamna Malaya? Wapo kibao. Kifupi kila sehemu ina starehe yake kutegemea wewe unataka nini. Wengine starehe yao ni kwenda beach wengine ndio nyinyi sehemu za pombe na vuruguUnajua mimi huwa najadili hoja kama ilivyoletwa, soma heading ya mtoa mada.
Kazi ya umalaya?Fanyeni kazi