Postcode
Ni anuani ya makazi ya sehemu Fulani ambayo inawakilishwa kwa namba maalumu
Wanaotoa hizo namba ni TCRA
Mfano Angalia hii
51401
Ndio postcode ya sehemu husika
5.inawakilisha nchi Tanzania
1.mkoa
4.wilaya
0.kata
1.kijiji
Jumla zinakuwa namba tano
Niambie wewe Unatoka mkoa gani na wilaya na Kata gani nikutumie postcode yako Sasa hivi