Kwa anaefaham movie kali anisaidie ni download,napendelea za kutisha zaidi lyke SAW,FINAL DESTINATION,WRONG TURN etc,ntashukuru kwa msaada wenu
tatizo ndugu unaweza kuchagua movie kumbe ya ovyo ndo maana nataka niambiwe iliyo kali,hata moja moja ntakusanya za kutosha,mfano wa interest zangu ndo hzo movie nlizozitajamkuu mimi naona kuna ugumu kiasi. Kwanza interests za watu hazifanani, huenda mimi nikawa naona movie fulani ni nzuri, lkn isikuvutie wewe. Lakini pia nakushauri ujenge mazoea ya kutumia google. Mbona kuna sites kibao zenye movies kama hizi? Wewe andika tu horrow movies site kwenye google utapata orodha ndefu tu.
Na kama utapata shida kudownload, lkn utakuwa umepata majina ya movies kibao. Kwa hiyo utachagua movies ambazo unahisi zitakufaa, kisha utatumia piratebay, isohunt, torrentz, demonid au torrentportal kuzidownload.
Mkuu mimi naona kuna ugumu kiasi. Kwanza interests za watu hazifanani, huenda mimi nikawa naona movie fulani ni nzuri, lkn isikuvutie wewe. Lakini pia nakushauri ujenge mazoea ya kutumia google. Mbona kuna sites kibao zenye movies kama hizi? Wewe andika tu Horrow movies site kwenye google utapata orodha ndefu tu.
Na kama utapata shida kudownload, lkn utakuwa umepata majina ya movies kibao. Kwa hiyo utachagua movies ambazo unahisi zitakufaa, kisha utatumia piratebay, isohunt, torrentz, demonid au torrentportal kuzidownload.
Teh teh teh,unantisha VAMPIRE,Ngoja ni download ntakupa majibu kama kali au ya kawaida.BY THE WAY AKSANTE SAAAANAMkuu tafuta movie inaitwa drag me to hell tafuta part one na imeshatoka part two yake,
Masharti ya movie hii angalia ukiwa sehemu yenye utulivu pasiwe na makelele ili uipate vizuri story na sound effect zake
Ukiimaliza movie hii salama,hurudii tena kuhitaji movie za kutisha
tz1 links hizoMkuu mimi naona kuna ugumu kiasi. Kwanza interests za watu hazifanani, huenda mimi nikawa naona movie fulani ni nzuri, lkn isikuvutie wewe. Lakini pia nakushauri ujenge mazoea ya kutumia google. Mbona kuna sites kibao zenye movies kama hizi? Wewe andika tu Horrow movies site kwenye google utapata orodha ndefu tu.
Na kama utapata shida kudownload, lkn utakuwa umepata majina ya movies kibao. Kwa hiyo utachagua movies ambazo unahisi zitakufaa, kisha utatumia piratebay, isohunt, torrentz, demonid au torrentportal kuzidownload.
Mkuu mi mbishi lakini hii sikumbuki kama nilifika hata robo kwenye hii movie-- kibaya ama kizuri zaidi niliiangalia night geto halafu alone-- nilijuta kuiweka kwenye Laptop yangu!Mkuu tafuta movie inaitwa drag me to hell tafuta part one na imeshatoka part two yake,
Masharti ya movie hii angalia ukiwa sehemu yenye utulivu pasiwe na makelele ili uipate vizuri story na sound effect zake
Ukiimaliza movie hii salama,hurudii tena kuhitaji movie za kutisha