K Kifude Member Joined Dec 6, 2012 Posts 31 Reaction score 5 Jan 10, 2013 #1 Hv,jamani huyu wema sepetu amesoma wapi? Coz siamini kama kasoma kayumba secondary,.english yake ni nzuri sana...pia nani anaeweza kunisaidia kupata mawasiliano yake coz nashida nae xana
Hv,jamani huyu wema sepetu amesoma wapi? Coz siamini kama kasoma kayumba secondary,.english yake ni nzuri sana...pia nani anaeweza kunisaidia kupata mawasiliano yake coz nashida nae xana
Mapondela JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 454 Reaction score 85 Jan 15, 2013 #2 Kwani Kusema kingereza kizuri kinahusiana na shule? Inawezekana ikawa ndio lugha ambayo amekua akiongea tangu amezaliwa.
Kwani Kusema kingereza kizuri kinahusiana na shule? Inawezekana ikawa ndio lugha ambayo amekua akiongea tangu amezaliwa.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Jan 15, 2013 #3 Mie pia nimesoma st kayumba, na nahisi kama najitahidi kuongea kiingilishi. Nikupe namba yangu? (namaanisha namba ya uraia)
Mie pia nimesoma st kayumba, na nahisi kama najitahidi kuongea kiingilishi. Nikupe namba yangu? (namaanisha namba ya uraia)
Hashpower7113 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,354 Reaction score 2,144 Jan 15, 2013 #4 No yake ni 0755470652 Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
salito JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 1,406 Reaction score 735 Jan 15, 2013 #5 Hashpower7113 said: No yake ni 0755470652 Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums Click to expand... Kaka ungetoa na tigo kabisa..
Hashpower7113 said: No yake ni 0755470652 Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums Click to expand... Kaka ungetoa na tigo kabisa..