Mtoa mada,
Muleba wanatoka jamii flani ya wahaya, wanaitwa "wanyayangiro"
Hawa jamaa ni wajivuni balaa.
Kama uliwai kuskia wale wahaya wenye misifa misifa kibao, Basi uko muleba ndio HEAD QUARTERS Yao.
Uko nadhani ndo anatokea yule mmama mbunge aliesema "msinibabaishe, bilioni 40 ni Ela ya mboga"