Kwa anaepafahamu Nshamba Muleba

Kwa anaepafahamu Nshamba Muleba

Wakuu habari za muda huu..

Ninaomba kwa mwenye wenyeji wa Katabya Nshamba wilaya ya Muleba anijuze kuhusu maisha kiujumla kwanzia watu wake, uchumi na mazingira
Pako vizuri sana ile centre ni ndogo ila ukisikia matajiri toka enzi hizo kwa mkoa wa kagera hadi sasa wako pale huduma zote muhimu zipo + starehe pia kuna vijana wa chuo cha kilimo uwa wanauchangamsha mji hasa siku za wikiendi wanakuwa wa kutosha
 
Wakuu habari za muda huu..

Ninaomba kwa mwenye wenyeji wa Katabya Nshamba wilaya ya Muleba anijuze kuhusu maisha kiujumla kwanzia watu wake, uchumi na mazingira
Karibu igabiro,

Maisha ya pale ni kawaida sana mzunguko wa pesa ni mdogo mno sawa na hakuna, vyakula vipo vingi hapo hakuna shida, usafiri upo saa 24, hakuna wanawake wote ni wake za watu.
 
Kwa Nilivyosisitizwa na bi mkubwa"Wahaya sio jamii nzuri Sana kuishi Nao wakiwa kwao"nendako utatusimulia ukishakaako(Kwa sauti ya watu wa kanda ya ziwa)šŸ¤“šŸ¤“šŸ¤“šŸ¤“
Utuachepo🤣🤣
 
Mtoa mada,
Muleba wanatoka jamii flani ya wahaya, wanaitwa "wanyayangiro"

Hawa jamaa ni wajivuni balaa.

Kama uliwai kuskia wale wahaya wenye misifa misifa kibao, Basi uko muleba ndio HEAD QUARTERS Yao.

Uko nadhani ndo anatokea yule mmama mbunge aliesema "msinibabaishe, bilioni 40 ni Ela ya mboga"
 
Back
Top Bottom