Kwa anaejua chuo kizuri cha Journalism plz msaada

Kwa anaejua chuo kizuri cha Journalism plz msaada

Utasomeaje kitu kikubwa namna hiyo ile hali uandishi wako tu hauna mashiko?

Umakini kwenye uandishi huna, unaandika mambo yasiyoeleweka, jaribu kusoma tangu mwanzo kile ulichokuwa unaandika uone namna ambavyo unaboronga.

Hiyo jamii unataka uitangazie huo utumbo!
Mwandiko wa hovyo halafu anataka chuo kizuri aisee
 
Back
Top Bottom