Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,417
- 8,047
Baada ya miaka 10 ya kutumia TECNO sasa nimehamia Samsung,
Tatizo linalonisumbua sipati sms na notification za wasap, jf, fb kwa wakati,
Yaani mpaka niifungue application husika ndio sms na notification zinaingia mfululizo hata zilizotumwa siku kabla sijaigia, sasa sijui ndio sumsung zilivyo au ni setting zake na ina matatizo yako,
Karibuni wajuzi kwa msaada..
NB. Data inakua on mda wote na mb zipo.