Kwa anaehitaji mkopo

GDK

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
40
Reaction score
8
Habari wana JF.Kwa wale wanaohitaji mikopo midogo ya haraka inatolewa kuanzia 500,000 mpaka 3,000,000.

Dhamana ni muhimu.Kuanzia milioni moja dhamana ni gari.
Malipo ni kwa mwezi mmoja tu.
Asilimia 25% kwa mwezi.

KWA MWENYE MAHITAJI TU!
 
Funguka zaidi mwana jamii... mfano inachukua muda gani mtu apate mkopo, vitu gani mnavihitaji ili mtu aweze kukidhi kupewa huo mkopo nk
 
Kama nilivoeleza hapo juu.Mikopo hii ni kwa mtu yeyote ambaye ana mahitaji yake ya dharula.Ukikamilisha matakwa na kujaza fomu unapewa papo hapo.Kama ni dhamana ya gari lazima iwe kwa jina lako pia uwe na kitambulisho chenye picha anwani ya makazi inayoeleweka au anwani kamili ya ofisi yako.Inatolewa kwa yeyote awe mfanyakazi au mjasiliamali mwenye mahitaji ya haraka.

NASISITIZA KWA MWENYE MAHITAJI TU WANI-PM.
 
'ee bwana nyi jamaa mna hela mpaka mnatafuta watu wa kuwapa asee,teh teh'
 
Huu ni wizi,umesajili haya mambo kisheria?Au unaibia serikali na wananchi wake,25% per month,huu wizi wa hali ya juu sana,acheni wizi.
 
Huu ni wizi,umesajili haya mambo kisheria?Au unaibia serikali na wananchi wake,25% per month,huu wizi wa hali ya juu sana,acheni wizi.

Aina nyingine ya WIZI...

Tumeifikisha hapa TZ. Sisi wenyewe tunaibiana?

Waheshimiwa ni kweli huenda ukawa ni wizi, lakini usiombe ukapatwa na tatizo la ghafla/dharura na unahitaji pesa kwa ajili ya kutatua tatizo hilo na wakati huo hauna hiyo pesa, nakuhakikishia utakopa hata kwa 50%.....
 
Hakuna wizi wowote hapa.Kama hujapatwa na shida wewe kaa kimya...Ndo maana nimesema kwa wenye mahitaji tu wani-PM.Wakati wewe unasema wizi wengine wanani-PM..Endelea na shughuli zako kama haikuhusu..
 
Waheshimiwa ni kweli huenda ukawa ni wizi, lakini usiombe ukapatwa na tatizo la ghafla/dharura na unahitaji pesa kwa ajili ya kutatua tatizo hilo na wakati huo hauna hiyo pesa, nakuhakikishia utakopa hata kwa 50%.....

Unajitajirisha kwa MATATIZO ya mwingine...Lol' Ombea basi watu wapate shida waje kukopa kwa 25%.... Wakati wao pia wanaomba wasipate shida...
 
Unajitajirisha kwa MATATIZO ya mwingine...Lol' Ombea basi watu wapate shida waje kukopa kwa 25%.... Wakati wao pia wanaomba wasipate shida...

Umenifurahisha sana mkuu, kwanza kabisa si husiki na huo mradi ila nimechangia topic tu. Bado narudia kwa kuwa haiwezekani watu wakakosa matatizo/mahitaji watu wameamua kuja na hiyo biashara ya kuwasaidia watu wa aina hiyo!

Mithali 27 : 7
Nafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu.
 
:amen:
 
hiyo asilimia ya riba ndo balaa, milioni 1 mwezi halafu zamani gari? du aya mkuu ngoja wenye kupenda kukopa waje, mimi niendelee kula msoto na buku 5 zangu.
 
habari yako mkuu, nahitaji 1.5 mill. nitakupata wapi tuonane.contact please
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…