Kwa aliye fanikiwa kuacha hiki kitu anisaidie mbinu na mimi niache..

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,792
9,080
Heshima kwenu wakuu
niende straight kwenye point.Jamani kama kuna mtu ambaye amefanikiiwa kuacha kuangalia PORN videos anisaidie mbinu alizo tumia hadi akaacha,yaani naona ishakua kama dozi kwangu nisipo angalia sijisikii kabisa
Nimeanza huo mchezo nikiwa darasa la Nne mpk saiz nimemaliza form six ila bado naangalia yaani imepelekea hadi msichana wangu kuniacha kwa sababu ya hiyo tabia
Yani nikiwa sina pesa niko radhi kukopa ilimradi tu ninunue bundle au cd.
Nakumbuka siku moja mshua alipo nikamata nikiangalia nikasema sita angalia tena haukupita hata mwezi nikarudia tabia
Napenda kuacha ila kila nikiweka nia Nashindwa jamani MSAADA kwa yule alie weza kuacha anipe mbinu
Asanteni.
 
Kuna Jukwaa la Wakubwa humu ebu nenda katembelee huko kuna wazee wanapost na kuangalia hayo mambo yako sana sembuse wewe umemaliza form six
 
Pole sana mkuu.
Jiweke busy tu na penda kufanya mazoezi mda ambao utakuwa huna cha kufanya. Epuka stori zinazovuta hisia za migegedo itasaidia punguza porn kidogo.
 
Hii mbinu ya ubusy atachemka labda umwambie hasiwe na smartphone
 
Pole sana mkuu.
Jiweke busy tu na penda kufanya mazoezi mda ambao utakuwa huna cha kufanya. Epuka stori zinazovuta hisia za migegedo itasaidia punguza porn kidogo.
vyote nafanya lakini wapi anyway ntaongeza juhudi
 
Kuna Jukwaa la Wakubwa humu ebu nenda katembelee huko kuna wazee wanapost na kuangalia hayo mambo yako sana sembuse wewe umemaliza form six
sitaki kua kama hao wazee ndo maana nimeomba msaada mapema Mkuu
 
sahiv fungua porn web, angalia utakavyo, fanya unavyofanyaga, ila ikifika 23:59pm clear history yote na kama ulisave futa, kwanzia 00:00:01 01/06/2017 weka nia ya kuacha na kuuchukia huo mchezo ukiwazia sana madhara yake, jiweke busy, na kuwa na hofu ya Mungu (only if you're believer). change it's you, no magic or miracles can stop you
 
thanks
 
Pole sana mkuu.
Jiweke busy tu na penda kufanya mazoezi mda ambao utakuwa huna cha kufanya. Epuka stori zinazovuta hisia za migegedo itasaidia punguza porn kidogo.
tufanye saa 7 mchana hana cha kufanya je akafanye mazoezi???? haaaahaaaahaaaha

hakuna njia ya kumfanya aacha mpaka pale yeye mwenyewe awe na utayari hayo mambo ya mazoezi sijui kuacha smartphone ni bonus tu
 
Mkuu nitajie washiriki unaowajua ! Maana mimi nilikuwa nafatilia mpaka maisha yao nje ya kazi na awards wanazotunukiwaga! machomaanisha ni jinsi gani nilikuwa deep na bado nimeacha! nijue kiwango ulichofika nikushauri.

Kuangalia tu ovyo ovyo sio tatizo.

Tatizo linakuja mpaka kuna washiriki wako wakitoa kitu huwezi pitwa kama Alexis Texas.
 
siangalii porn kabisa,na kama kweli ni member mzuri wa Jf kuna Uzi humu,kuna Mtumishi wa Mungu ameelezea madhara yake! Utafute,acha kujiendekeza.
 
sitaki kua kama hao wazee ndo maana nimeomba msaada mapema Mkuu
Muda usiokuwa na kazi yeyote soma vitabu vya dini kama Bible anza mwanzo mpaka ufike ufunuo utakuwa umesha acha au kusahau na uwe na hofu ya Mungu na kuamini kuwa ukiangalia hivi vitu ni dhambi
 
Heshima kwenu wakuu
niende straight kwenye point.Jamani kama kuna mtu ambaye amefanikiiwa kuacha kuangalia PORN videos anisaidie mbinu alizo tumia hadi akaacha,yaani naona ishakua kama dozi kwangu nisipo angalia sijisikii kabisa
Nimeanza huo mchezo nikiwa darasa la Nne mpk saiz nimemaliza form six ila bado naangalia yaani imepelekea hadi msichana wangu kuniacha kwa sababu ya hiyo tabia
Yani nikiwa sina pesa niko radhi kukopa ilimradi tu ninunue bundle au cd.
Nakumbuka siku moja mshua alipo nikamata nikiangalia nikasema sita angalia tena haukupita hata mwezi nikarudia tabia
Napenda kuacha ila kila nikiweka nia Nashindwa jamani MSAADA kwa yule alie weza kuacha anipe mbinu
Asanteni.
HAKIKA PORN HAITAKUACHA BURE BILA KUNYETOKA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom