Kwa akina dada

Kwa akina dada

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
779
Hivi kwa nini huwa mnatunza sana kumbukumbu ya mwanaume tangu cku alipoanza kukutongoza utakariri hadi nguo alizokuwa amevaa jamaa......!!
 
heheeee... hivi kweli eeeh?
hadnt noticed that
 
Hadi sms ulizomtumia siku za mwanzo mwanzo wanatunza. Ila mi nahisi huwa hawajiamini ni kama ushahid siku akitaka kupigwa chini akuoneshe izo kumbukumbu alizonazo then unaweza badili maamuzi
 
Unajua mwanamke ukweza kumshika akashikika na ukamuingia moyoni akakushiba hayo yote yana kuwa ni matokea yake, ila kama hukuweza it wont happen
 
Huyu ambae ndo kaja kuwa ubavu wangu wa kushoto kanishangaza sana juzi......baada ya miaka 8 ya kuishi wote ndo kaniambia hadi nguo nilizokuwa nimevaa
 
Kama alivutiwa na wewe time unamtokea, basi ni possible yeye kuanza kuweka kumbukumbu ya unayomwambia na kuyafanya.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom