Kwa akina dada na hii mnasingiziwa?

Kwa akina dada na hii mnasingiziwa?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,787
Binafsi yangu nimefanya upembuzi yakinifu nikabaini hili lisemwalo lina ukweli hassaa! Na wala hamsingiziwi kwamba:-

Kwa mwanamke yeyote yule awapo kokote ama popote nje au mbali ya kitanda kama vile veranda, hotelini, ndani ya bus n.k. ukimwambia we dada/ mama/ shangazi kaa vizuri kama alikua amekaa na ametanua miguu basi ataibana, na mama/dada huyohuyo akilala na mwanaume kitandani akiambiwa kaa vizuri kama alikua amebana miguu ataitanua!

Kwa hili la kufanya mambo vice- versa mnalikubali kwamba huwa nyie hamko straight na mnachokisikia au mnasingiziwa?
 
hawana cha kubisha
Kama hawabishi it means TRUE! na nitamshukuru Mh. Jose hapo juu ameahidi kufanya "physical research" uck wa leo ninasubiria result yake, kuna wa'beijing humu Jf ambao ni waongeaji wazuri km Faiza, Aminata, Asha D, lakini wamechuna km c midomo imewajaa mate!
 
Mie hata sijaelewa unaongelea nini hapa! Unaweza kua unamaanisha tunafuata matakwa yetu na sio maelekezo?
King'asti mtu wangu acha kujiumauma thread iko open kabisaaa! Ww unachatakiwa ni describe inakuaje sebleni ukimwambia mwanamke kaa vizuri lazima tu atabana miguu, na ucku kitandani mwanamke huyohuyo ukimwambia kaa vizuri hata kama alikua amebana miguu atapanua! Bado huelewi nini?
 
Ila kamanda hapo nimekukubal kwa kuibua madude ya uhakika.ulipogusa ni tagetid point
 
Teh teh teh hebu wadadakaeni vizuri mtujibu kwa ufasaha tafadhali.
 
Teteteh!kuna dada nimekaa nae hapa niliposoma na kumwambia kaa vizuri kabana miguuuu!no comment mkuu,its TRUuuuuuuu
 
Mie hata sijaelewa unaongelea nini hapa! Unaweza kua unamaanisha tunafuata matakwa yetu na sio maelekezo?

Acha kujifanya mgumu wa kuelewa rudia tena utaelewa fresh kwani jamaa kaenda strait to point
 
Ni ukweli mtupu mkuu wadada wana mambo kali zaidi niliyemwambia alikuwa amevaa suruali
 
Kweli ushabiki hauna mwenyewe, niwaulizeni swali dogo taa maana yake nini? Nawasaidia, inaweza kuwa kifaa kitoacho mwanga au ni aina ya samaki. Sasa siwezi kukuambia zima taa nikimaanisha uzime samaki aina ya taa. Kifupi ni inategemea neno limetumika wapi!
Anyways, napita tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom