unajua maisha ya uswahilini matamu sana dah! acha tuest Bitozie
maisha ni mazuri (kwa faida ya wageni wa french)la vie est belle
Sure!maisha ni mazuri (kwa faida ya wageni wa french)
We bitoz weweee!..
Bonge la picha..nimembamba irani anaoga wakati napita kichochoroni...
Nashauri Barbara zote ziwe na vyoo type hii...chimba dawa hapa !!Safi sana hii ... maana hakuna kuremba unaoga fasta unasepa!