Kwa akili hizi waafrika tuna safari ndefu sana

RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
2,423
7,124
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, waafrica iwapo hatutacha upumbavu wa kutumia neno mabeberu ili kuficha madhaifu yetu ,basi tusitegemee kuendelea na bara letu lita zidi kuwa masikini mpaka mwisho wa dunia.

Unashangaa viongozi wanafanya maamuzi ya hovyo lakini likitokea la kutokea kutokana na maamuzi yao wenyewe basi wa kulaumiwa ni mabeberu.

Mfano mzuri ni hili la kuzuiliwa kwa ndege yetu,unashangaa anayelaumiwa sio yule aliyesababisha hilo deni lilosababisha ndege kuzuiliwa ,Bali anaye laumiwa ni beberu sasa sijajua hao mabeberu wanahusikaje katika hili.

Mfano unakuta lijitu linajiita eti lisomi lakini linakuja humu linaanzisha Uzi wa kuwalaumu mabeberu kwa umasikini tulionao ,hivi mabeberu ndio walio mtuma jiwe kwenda kuwadhurumu na kuwatia hasara wakulima wa korosho,kahawa,na mbaazi.

Waafrika tuache upumbavu tuzinduke,kila siku jamii ya watu weupe inazidi kusonga mbele kwa kasi ya ajabu ,wakati sisi tumekalia mambo ambayo haya maana wala manufaa kwa kizazi cha sasa na kijacho.
 
Mabeberu ndio wakiamua unaendelea wasipo amua unabaki umestiki tu..Mfano mdogo tu kahawa end of the day inaenda kwao wao ndio wanunuzi wakisema hawazitaki imekula kwetu mbinu chafu wanazo wao wanacho angalia ni maslai yao mfano ni Libya walimuua Sankara wakampandikiza mtu wao mabeberu sio watu
 
Ndio umeandika nini sasa kama sio upupu? Nyumbu kabisa
 
Ukwapi huo uzi ama basi ambatanisha hicho unacho kiita "waTanzania wapumbavu kwa kuwalaumu mabeberu".
Maana naona umeandika uzi kwa hasira na gadhabu kubwa hadi umejikuta umepoteza maana nzima ya kile ulicho kusudia kuandika hata ukachanganya mbaazi, korosho na ndege....teh
 
Mabeberu wana akili kuliko Waafrika wote?
Mabeberu ndio wakiamua unaendelea wasipo amua unabaki umestiki tu..Mfano mdogo tu kahawa end of the day inaenda kwao wao ndio wanunuzi wakisema hawazitaki imekula kwetu mbinu chafu wanazo wao wanacho angalia ni maslai yao mfano ni Libya walimuua Sankara wakampandikiza mtu wao mabeberu sio watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom