Kuzunguka kwa dunia

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
30,261
69,467
Mpo gud wadau..?
swali langu ni dunia/sayari inawezaje kujizingusha au kuna nguvu gani inayosababisha dunia/sayari kujizungusha...?
na kama kuna nguvu nini chanzo cha hiyo nguvu...?

karibuni....
 
Mpo gud wadau..?
swali langu ni dunia/sayari inawezaje kujizingusha au kuna nguvu gani inayosababisha dunia/sayari kujizungusha...?
na kama kuna nguvu nini chanzo cha hiyo nguvu...?

karibuni....

Kuna nguvu ya uvutano kati ya Jua na sayari, hii ni kanuni ya gravitational ambayo inasema ukiwa na vitu viwili vyenye uzito m1 na M2 vitu hivi huvutana, yaani m1 huvuta M na M huvuta m1 na hivyo ndivyo Dunia/sayari huweza kukaa kwenye njia yake (orbit) bila ya kuanguka ni kwa sababu ya hiyo nguvu ya uvutano ambayo huandikwa kwa fomula hii hapa chini!

F = G (Mm/r²) ambapo G ni constant number !​
 
umesema dunia/sayari isipokuwa na uvutano na jua itaanguka unaweza kuniambia itaangukia wapi..?
 
Nguvu ya uvutano inayofanya maji yateremke kwenye mto kutoka juu mlimani kuja baharini na yasipande kutoka baharini kwenda mlimani.
duh hebu nielezee kinagaubaga zaidi nipate kukuelewa itakuwa vizuri ukiniambia na hiyo nguvu inapatikanaje
 
duh hebu nielezee kinagaubaga zaidi nipate kukuelewa itakuwa vizuri ukiniambia na hiyo nguvu inapatikanaje
Siwezi kuelezea vizuri Kiswahili kwa sababu juna maneno mengine hayapo katika Kiswahili au kama yapo siyajui.

Vitu vyenye uzito vinabadili upinde wa ombwe.

Massive objects change the curvature of space.

Ukiwa karibu zaidi na kitu kizito ndivyo upinde wa ombwe unavyopinda zaidi kuelekea kwenye kitu kizito.

The closer you are to a massive object, the more the curvature of space is bent towards the massive object.

Dunia kuzunguka jua ni kufuata mstari wenye mpingano mpungufu kabisa, ni kama kufuata mstari ulionyooka katika utupu uliopinda.

The earth going around the sun is following the line of least resistance, as if following a straight line in curved space.
 
kivipi..?

Geothermal energy haitoki kwenye jua.

Hydroelectric power haitoki katika jua.
Nguvu zote duniani kama vile kuwaka kwa bulb, kutembea kwa gari, mtu kutembea kwa miguu, kuongea, kugegeda, umeme, ndege kusafiri angani, kucheza mpira na nyingine zote zinatokana na jua kama ifuatavyo:-Jua linasaidia mimea kutengeneza chakula chake kupitia process inayoitwa photosynthesis ambapo wewe unapokula mimea hiyo kama chakula unapata energy ya kuongea, kutembea, kugegeda, kucheza mpira, kuendesha bicycle, e.t.c.Mimea na sisi tukifa tunabadilika kuwa mafuta ya kuendesha ndege, magari, meli, pikipiki na mashine mbalimbali. Jua huwa linayeyusha barafu kwenye milima ambapo barafu hizo zikishayeyuka huwa maji na maji hayo hutembea kwenye mito kwenda kuzungusha dynamo kubwa kwenye mabawa ya mtera ili kupata umeme na hatimae bulbu huwaka, tv huwaka, pasi hutumika,feni huwaka e.t.c...
 
Nguvu zote duniani kama vile kuwaka kwa bulb, kutembea kwa gari, mtu kutembea kwa miguu, kuongea, kugegeda, umeme, ndege kusafiri angani, kucheza mpira na nyingine zote zinatokana na jua kama ifuatavyo:-Jua linasaidia mimea kutengeneza chakula chake kupitia process inayoitwa photosynthesis ambapo wewe unapokula mimea hiyo kama chakula unapata energy ya kuongea, kutembea, kugegeda e.t.c.Mimea na sisi tukifa tunabadilika kuwa mafuta ya kuendesha ndege, magari, meli, pikipiki na mashine mbalimbali. Jua huwa linayeyusha barafu kwenye milima ambapo barafu hizo zikishayeyuka huwa maji na maji hayo hutembea kwenye mito kwenda kuzungusha dynamo kubwa kwenye mabawa ya mtera ili kupata umeme na hatimae bulbu huwaka, tv huwaka, pasi hutumika,feni huwaka e.t.c...
Kuna energy inayotokana na nuclear forces, kuna energy za matetemeko ya ardhi zinazotoka ndani ya dunia, hazitoki kwenye jua.

Unapoangalia nyota unaona mwanga unaotoka katika nyota hizo, mwanga huo hautoki katika jua.
 
Back
Top Bottom