Sasa hapo binti inatakiwa awaze hayo kabla hajapata mimba.....je mtoto ataishije?Mama hana elimu wala kazi na baba kafungwa miaka 30 kwa kumpa mama yake ujauzito, mtoto ataishije atakapozaliwa?
Ila kwa sisiemu hutakiwi kuremba mwandiko. Hao ni wa kutukanwa kabisa...yule jamaa mwingine anadai eti darasa la kwanza wanaweza kujiunga shule wakiwa waja wazito!!
..wakati mwingine ana mawazo mazuri tatizo liko ktk uwasilishaji. Matumizi yake ya lugha hayapendezi wakati mwingine.
Hahahahaaa asee! Slowslow naye ni hopeless material tu!Ulimuona polepole anawaambia wana-kibaha eti "mmemuona jeeembee?"
Jembe lenyewe pombe aina ya pingu!
Bwakyakyakyahhhahahhahaha
Huo mpango wa kumeza madawa ni hatari sana. Wengi sasa wamebaki na mauvimbe tumboni.We ndo zuzu, kwanini usimtumie uzazi wa mpango. Kama matunda huyapendi usijichoshe kuyaokota na kuyatupa bali kata mti yasizaliane.
Nikwel bt darasa là kwanza wengne wanasoma na miaka kumi n'a moja bt huyo anauwez WA kushika mimba bt cc wananchi tumeisha waelewa hawa Ni wapingaji WA kila kituSiku hz chadema haieleweki (waliokuwa wanayataka leo wanayaponda), tafsiri yake ni kwamba wangeshika dola wangefanya mambo ya hovyo sana!
Mama hana elimu wala kazi na baba kafungwa miaka 30 kwa kumpa mama yake ujauzito, mtoto ataishije atakapozaliwa?
Embu acha kujitoa ufaham zzk aliwahi kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye kule bagamoyo kwenye retreat ya wabunge wa chadema na huyo huyo mbowe ndio alimkingia kifua ulitaka chance ipi ingine??? Unakumbuoa zzk alipotaka chadema imtose lwakatare hadi akakosana na mbowe pale ubungo plaza ila bado alisamehewa ssa chance gani tena apeweMbona hakumshauri Mbowe ampe Juliana Shonza second chance ndani ya CDM kama kweli anaamini girls deserve second chances.
Vipi ZZK alipotungishwa mimba ya usaliti mbona hatukusikia haya mahubiri?
2nd chance zisihubiriwe kinafiki kila mmoja atoe kwenye nafasi yake tuone sababu wakiuka kanuni siyo hao mabinti wenye mimba tu.
Wananchi gani wanaelewa??? Inamaanisha wananchu wanaunga mkono wasirudishwe shuleni??? Utafiti umeufanya lini wakati UNHCR inadai wananchi wanataka mfumo huo ufutwe kwa tafiti za kisayansi kabisaNikwel bt darasa là kwanza wengne wanasoma na miaka kumi n'a moja bt huyo anauwez WA kushika mimba bt cc wananchi tumeisha waelewa hawa Ni wapingaji WA kila kitu
Angalia faida ya muda mrefu!!! Mama hana elimu baba yupo jela hivi hamuoni mnaongeza maskini ukizingatia kwa muhongo huu mmoja wananfunzi 100,000 wameacha masoma kisa ujauzito!!!! Hapo unatengeneza mategemezi laki 3 kwa kosa dogo tuMi hili sichangii..!!! Sasa mwanafunzi ana mimba mnataka mkulu aseme zaeni tu mtarudi shule. Nyie wehu nini ?
kasome vizuri ilani ya ccm 2015-2020
Alipomaliza mtihan wa form two kipind anasubir majib hapo ndipo alipopata ujauzito...hakwenda form three mwaka unaofuata mpk alipojifungua...mbona nawajua wengi tu ambao walipata ujauzito wakiwa shuleni..na sasa wapo kazin wengine serikalini lakin wamenyamaza tu hata baada ya kauli ileHujafafanua kiongozi wangu,aliendelea sawa ila kwa mfumo upi?rasmi au usiorasmi.
Nimegundua kuna ukabila katika kusupport hii serikali..yaan hata ambao wanajua madhara ya kauli hii wameuchuna?Nayeye kaguswa sasa mwambie asizuge asifie na hilo...
Aaamin nawaaambia hadi awamu hii iishe hatabakia mtu kati yetu asieisoma namba...
Ni swala la muda tu
Hongera mkuu,na vipi hali ya familia iko vipi?maana kutunza mtoto wa mwaka mmoja bila mama kuna changamoto zake,je ni high,low au middle class. Gharama za matibabu,nepi,sabuni,maziwa nk. Tuambie mkuu.Alipomaliza mtihan wa form two kipind anasubir majib hapo ndipo alipopata ujauzito...hakwenda form three mwaka unaofuata mpk alipojifungua...mbona nawajua wengi tu ambao walipata ujauzito wakiwa shuleni..na sasa wapo kazin wengine serikalini lakin wamenyamaza tu hata baada ya kauli ile
Safi sana mlete mdogo wako mwingne nimgegede ataenda private then atakuwa mhandisiDada yangu alipata mimba akiwa form 2.. Alipojifungua aliendelea kusoma na sasa ni mwandishi wa habar...mzee n fan mkubwa sana wa JPM..hapa hajatoa kauli kauchuna...hehehehe
Nimegundua kuna ukabila katika kusupport hii serikali..yaan hata ambao wanajua madhara ya kauli hii wameuchuna?
Nimegundua kuna ukabila katika kusupport hii serikali..yaan hata ambao wanajua madhara ya kauli hii wameuchuna?
Sawa bashite...nadhan unatumia kundule kufikiri...anyway subiri upate mtoto utaelewaSafi sana mlete mdogo wako mwingne nimgegede ataenda private then atakuwa mhandisi