Kuzuia wanaopata mimba kuendelea na masomo: Lissu ampiga mtu dongo

Pharm D

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,176
2,000
Dada yangu alipata mimba akiwa form 2.. Alipojifungua aliendelea kusoma na sasa ni mwandishi wa habar...mzee n fan mkubwa sana wa JPM..hapa hajatoa kauli kauchuna...hehehehe
Nayeye kaguswa sasa mwambie asizuge asifie na hilo...
Aaamin nawaaambia hadi awamu hii iishe hatabakia mtu kati yetu asieisoma namba...
Ni swala la muda tu
 

galindas

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
981
1,000
Hivi kuna kipindi waliruhusiwa kurudi shuleni, hasa shule za serikali? Ninachokijua tangu tunasoma miaka ya 90 mtoto akipata mimba anafukuzwa shule, lakini akijifungua anaweza kwenda private ama veta lakini sio shule za serikali. Na hata hao wanaodai kurudi shule pengine walirudi kwa "dili".
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
12,981
2,000
Siku hz chadema haieleweki (waliokuwa wanayataka leo wanayaponda), tafsiri yake ni kwamba wangeshika dola wangefanya mambo ya hovyo sana!
Siku hz chadema haieleweki (waliokuwa wanayataka leo wanayaponda), tafsiri yake ni kwamba wangeshika dola wangefanya mambo ya hovyo sana!
Dah kwahyo mtu kusema wapewe chance ya pili ndio kupinga???

Ni lini chadema iliwahi pinga mwanafunzi asiendelee na masomo kisa mimba
 

Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,482
2,000
..anaamini ktk propaganda.

..huwezi kumlaumu sana kwasababu so far proganda hizo zimewalipa vizuri.

..anatakiwa mtu mwenye uwezo wa kuzijibu propaganda zake.
Hizi propaganda zijibiwe wapi! Humu JF? Hujasikia kuwa hakuna siasa hadi 2020 isipokuwa kwa mwenye chama "twawala"?
 

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,154
2,000
Siku hz chadema haieleweki (waliokuwa wanayataka leo wanayaponda), tafsiri yake ni kwamba wangeshika dola wangefanya mambo ya hovyo sana!

801c0a1c6b52a5a2b80462ba2855a720.jpg
kasome vizuri ilani ya ccm 2015-2020
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom