Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,988
- 1,208
Kweli mkuu na mara nyingi wanaotoa habari ni wafanyakazi wa benk wenyewejambazi anayewasiliana na simu anapoingia benki sio mzoefu
mission yote inapangiwa nje mkiingia ndani ni action tu (faces on the floor,hands where i can see them)
Ina maana watu wanaongea na simu kwa wakati mmoja mkuuNdio jaribu kufikiri kila mtu azungumze ndani ya bank na simu itakuaje?
And don't move a muscle!jambazi anayewasiliana na simu anapoingia benki sio mzoefu
mission yote inapangiwa nje mkiingia ndani ni action tu (faces on the floor,hands where i can see them)
Umesahau kuna wateja wanaingia bank na withdraw bulk of money kwao pia ni hatari maana mtu wa ndani anaweza kutoa sign kwa washiriki wenzake kwamba kuna mteja anatoka amevaa nguo fulani na amebeba mzigo wa shiling ngapi bado pia ni hatarijambazi anayewasiliana na simu anapoingia benki sio mzoefu
mission yote inapangiwa nje mkiingia ndani ni action tu (faces on the floor,hands where i can see them)
huyu atakuwa ni kibaka anayetafuta hela mbuziUmesahau kuna wateja wanaingia bank na withdraw bulk of money kwao pia ni hatari maana mtu wa ndani anaweza kutoa sign kwa washiriki wenzake kwamba kuna mteja anatoka amevaa nguo fulani na amebeba mzigo wa shiling ngapi bado pia ni hatari
Sasa mkuu unamzua ndani lakini kama ana nia mbaya si anatoka tu nje tena anaongea kwa uhuru zaidiUmesahau kuna wateja wanaingia bank na withdraw bulk of money kwao pia ni hatari maana mtu wa ndani anaweza kutoa sign kwa washiriki wenzake kwamba kuna mteja anatoka amevaa nguo fulani na amebeba mzigo wa shiling ngapi bado pia ni hatari
Mkuu hivi iwapo anakusudia uhalifu atashindwa kutoka nje na kuongea na wahalifu wenzake.Inasaidia sana tu, especially kwa wateja wa bulk cash anayetoka kwa bulk cash cashier. Tho ni kwa kiwango kidogo, ila pia inaminimize risk.
Kwa staff pia ni muhimu kutokutumia simu kwa sababu wanaweza kutengeneza mchongo mzima na hata kuwataarifu jamaa kwamba ingieni sasa STRONG ROOM IPO WAZI (imefunguliwa, kuna watu) so inarahisisha muda kuliko wao kuingia na kutafuta wanaoshika funguo za strong room na kuwasubiri wafungue.
Japo ni mara chache sana staffs kuzuiwa kutumia simu, labda wale tellers kwa sababu ni ngumu kuattend mteja huku unaongea na simu zako, na huwezi kuwa na customer care nzuri kwa mteja wkt unaongea na simu zako.
Anaweza kabisa mkuu, ila makatazo yote hayo ni kwa ajili ya KUPUNGUZA RISK tu, ila haimaanishi kwamba wizi hautakuwepo kabisa. Hapana...!!Mkuu hivi iwapo anakusudia uhalifu atashindwa kutoka nje na kuongea na wahalifu wenzake.
Na kama hiyo haitoshi bado anaweza kuwasiliana hata kwa sms
Labda kwa maana hiyo mkuuAnaweza kabisa mkuu, ila makatazo yote hayo ni kwa ajili ya KUPUNGUZA RISK tu, ila haimaanishi kwamba wizi hautakuwepo kabisa. Hapana...!!
Yap. Wizi upo pale pale mkuu. Jamaa wakiamua kweli kuja kuchukua hela zao, huwa ni tendo la dakika chache tu. They won't even last longer. Usiwaoe pale bank tellers wamekaa, pale chini anaweza akawa ana hata mil 70, bado bulk cash cashier, yule ndo ana mpunga mrefu. Sio rahisi sana kufika strongroom kwa sababu ya ufunguaji wake, ila wakifanikiwa ndo daaaah...!!! Hatariiiii...!!!Labda kwa maana hiyo mkuu