Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,988
- 1,208
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh. Amani ya bwana iwe juu.
Wana jamvi rejeeni kichwa cha habari hapo juu.
Nimekuwa nikitafakari kwa mda mrefu juu ya amri ya kutokuongea na simu ndani ya benk.
Ni kweli kabasa baadhi ya wahalifu wamekuwa wakitumia simu kama nyenzo ya kuwasiliana na wahalifu wenzao ili kutekeleza uhalifu wao kwa wananchi ambao wanachukua fedha nyingi kutoka benk.
Hoja hoja yangu ni kwamba marufuku hii inasaidia kweli?
Hofu yangu ni kuwa mhalifu anaweza akatekeleza uhalifu kwa urahisi zaidi anapotoka kuongea na simu nje.
Mawazo yenu wakuu juu kadhia hii.