Kuzini kunaua nyota!

Kuzini kunaua nyota!

Ujinga mwingi sana ninyi wafia dini,Nina jamaa yangu hapa ,Tena wawili, majogoo yao hayapandi mtungi, kama kufanya mapenzi Kuna ya nyota,mbona maisha yao ni magumu sana kuliko Mimi ninaye shenyenta K.?

Miminilishakataa kuhubiriwa dini na watu wa elimu za kuokoteleza, angalau kidogo naweza kumsikiliza padre,huyu ana elimu Dunia na elimu dini.

🤣🤣 oyaaaa
 
Imeandikwa Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.

Usiikaribie Zinaaa ,ili kuhepuka kuzini ni kuhalalisha(ndoa)....na ndoa ni ya mwanamke na mwanamme.

Kwahiyo aziniye ni mtu anayefanya mapenzi na mtu ambaye si mmewe au mkewe na kwa mtu anayefanya hivyo basi hana akili.
Sasa unakataa nini? Na unakubali nini?
Hebu soma ulichoandika kwanza.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom