Wanajamvi mzazi wangu anaumwa amefanya vipimo imeonyesha chambe hai nyekundu za damu zimezidi. Daktari wake anasema chanzo hakijulikani kwa hiyo hata matibabu sahihi imekuwa ngumu. Naombeni mwenye uelewa na hili eneo anishauri mzazi wangu apate tiba gani akae sawa.