lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,387
Sasa naona uzungu unatutoka taratibu aisee,au sijui ndio stress za maisha, tafiti ndogo inaonesha kale kamchezo adhimu ka ka kucheza na kipaza sauti au kuzama uvinza naona kanapoteza Dira siku hadi siku,kutofautisha na awali ambapo wapenda nao ulikua lazima hatua hii ihusike kabla ya mgegedo..kifupi hata Mimi kwa sasa naichukia hii tabia with NO REASON.
•GUYS ikiwezekana tuipotezee tu hii kitu maana kuna amsha amsha nyingi tofauti na hizi zaku RISK vinywa vyetu.
•GUYS ikiwezekana tuipotezee tu hii kitu maana kuna amsha amsha nyingi tofauti na hizi zaku RISK vinywa vyetu.
ah kudadek, kwa sasa sina mzuka na hizo mambo,bora demu anione Koro
pole chief