salumhamza
Member
- Nov 7, 2015
- 6
- 16
Kuna shida gani usipozaa au ukifa kabla hujazaa? Maana kifo kipo palepale uzae au usizae
Mara nyingi wanaokimbilia kuzaa......na hawatengenezi goals imara za watoto wao. Mfano Elimu bora,General Assets, Financial n Economic stability.
usizae ili mtoto aje kukusaidia but mtengenezee mazingira aje ku enjoy life hata kama haupo duniani
mmenikosha saana...Zaa/zalisha pale tu unapoona unaweza kuwa ama kubeba majukumu yote kama mzazi ili mtoto ajivunia kuwa na wazazi bora.
Majaaliwa ya Mungu ndugu yangu, mimi nimepata mtoto wa kwanza baada ya miaka 15 na siku 15 si kwa kupenda bali yeye aliyemkuu aliamua hivyo. Wewe oa au olewa na suala la watoto mwachie yeye kwani wewe kama wewe huna ujanja na hilo. Omba sana Mungu wako!!!!!
Mara nyingi wanaokimbilia kuzaa hawana exposure kubwa ya maisha....na hawatengenezi goals imara za watoto wao. Mfano Elimu bora,General Assets, Financial n Economic stability.
Halafu kuna dini flani ambayo ndio huwa inawasisitiza vijana wake waoe tu...haijalishi mtu ameset maisha vizuri au bado wao wanaamini Mungu atawajalia tu riziki.
Halafuu...kama wewe binafsi umeamua kuzaa mapema.
KWANINI UNATUSHAURI NA SISI? KWANINI TUKUIGE?
Baadgi = BaadhiUna
Unapoongea kwenye forum ya intellectuals unatakiwa uwe makini, usilete mambo ya dini na kufanya kuwa watu wa baadgi ya dini fulani ni dhalili na wala hawakusoma, usifanye hivyo kwa elimu yako ndogo ya vichochoroni. Dini unayosema wewe haisemi hivyo tu bali inakwenda mbali kwa kusema ukifika umri wa kuoa oeani ili muepukane na zinaa kwani Mungu anaichukia zinaa, na inasema ila oeni mkiwa na uhakika kuwa mnauwezo wa kuwatunza wake zenu kwa malzi, chakula, matibibabu na huduma zingine zote kwakuwa hayo ni majukumu ya mwanaume hata kama mwanamke atakuwa na kazi hiyo ni added advantage tu. So usiandike vitu kinafiki kutaka kuwafurahisha wahuni wenzako na kudhalilisha dini za wengine, wewe unadhani huko kwenye dini za wengine hakuna madokta, mainginia, mapiloti nk.