Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,953
- 3,830
Bora wewe hujalinda mgongo wakoUnazaa watoto haujajipanga.hauna hela alafu unasema kila mtoto na sahani yake.
Huo ni upuuz ndoh maana afrika imejaa umaskini.maana watu wana mawazo finyu.
Eti si hao wamekua😀Huku mtaan watu wanashindana watu wanaona ufahar utasikia si Hao wamekua 😳
Halafu hao watoto kila mmoja na mama yake maana ulisema hujaoaNina miaka 36
Nina watoto 6 na mwanamke mmoja anamimba yangu.
Panapo majaliwa Dec/2026 nitakiwa na watoto 7.
Lengo ni kua na watoto 10 nikifika miaka 40.
Yaani panapo majaliwa mtoto wa mwisho awe na miaka 20 wakati nastaafu na miaka 60.
Zalisha weweee, acha kuogopa maisha.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ndio sijaoa sitaki kupiga mtu risasi.Halafu hao watoto kila mmoja na mama yake maana ulisema hujaoa
Vp yule mwanamke wa tanga ameacha usumbufu
Ok sawa pambana na Hali yako mzeeNdio sijaoa sitaki kupiga mtu risasi.
Hayo ya mama mmoja au kila mtu na wake achana nayo..
Ndio aliacha na mwanae anasoma shule moja na wenzake.
#YNWA
#YANGA_BINGWA