Kuza uchumi wako na manunuzi Direct Dubai

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
26,201
49,868
Katika ulimwengu wa Teknolojia biashara zimerahisishwa sana,unachohitaji ni taarifa sahihi kwa wakati sahihi.
Kupitia KV dropshipping tunakusaidia kupata taarifa sahihi za biashara yako na kukusaidia kupata bidhaa kwa bei nafuu kutoka Dubai.
Kazi ya Kv dropshipping ni

1.Kupokea order binafsi( inaweza ya kwenda kwa supplier wa mteja,kukagua na kupakia kwenye cargo kulingana na hitaji la mteja) au kumtafutia mteja anachohitaji na kumtumia mpaka Tanzania

2.Kupokea order kutokana na bidhaa tunazopost katika account zetu za mitandao ya kijamii kila siku.

Hapa mteja wetu utachagua namna sahihi inayokufaa na sisi tutakuhudumia kwa usahihi kabisa.

Malipo yetu ni nusu ya bidhaa kabla ya kupokea mzigo na kumalizia baada ya kupokea (advance payment).
Kwa bidhaa tunazopost zinajumuisha usafiri wa ndege, lakini ukihitaji usafiri wa maji tutajadili.
Usafiri wa ndege ni mara 3 kwa week
Na wastani wa kupokea mzigo ni siku 3-5

Ofisi zetu zipo Kariakoo mtaa wa Mafia na Bonde
Nyumba no 46.

Baadhi ya bidhaa tunazosafirisha kwa sasa
Ni pamoja na
-Simu na vifaa vyake
-Vipodozi(body care na perfume)
-Taa za nyumbani na urembo wake
-Nguo na viatu
-vifaa vya music
-Saa na accesories zote

Hizi ni baadhi ya bidhaa ambazo tuna sample.

Mawasiliano
Whatsap tu
+255755155782
Namba ya ofisini Tanzania
+255655155782

Karibu KV dropshipping tukuhudumie kwa uaminifu kabisa, jisikie huru kuuliza ambapo haujaelewa.
Asanteni.
 

Attachments

  • 7F9ACEA7-80FF-41F8-B1FB-80DD5FD205F6.jpeg
    627.2 KB · Views: 8
  • 69B3F7F3-2A17-486D-A5DE-50ED29DA0EB4.jpeg
    929 KB · Views: 8
  • 530E196D-BAC2-47A6-853E-1F5C6B2413FC.jpeg
    2.2 MB · Views: 9
  • 41B60590-5775-4613-9875-698D1FA0425C.jpeg
    786.9 KB · Views: 9
  • IMG_9805.jpeg
    1.8 MB · Views: 7
  • IMG_9800.jpeg
    1.2 MB · Views: 7
  • IMG_9695.jpeg
    1.3 MB · Views: 7
  • IMG_9613.jpeg
    1.7 MB · Views: 8
  • 01F81390-F55A-45F8-B0F8-43CCFFC02415.jpeg
    940.2 KB · Views: 10
Hornet ingependeza ili kupunguza maswali na kuondoa ukakasi ukiweka bidhaa unaweka na bei elekezi, mfano bidhaa hii ukinunua kuanzia pcs kadhaa bei ni hii na pcs kadhaa bei ni hii.

Ukisubiri kufuatwa whatsapp kuna wateja wengine hawahitaji kuja huko kama hawajapata mwelekeo wa wanachokifuata.

Sambamba na hayo hapo juu, uwe unajibu hoja unazoulizwa na wadau, ni hayo tu kwa sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…