Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

Jamaa yangu alienda kusafisha meno kwa dentist ,pamoja na meno yake kuwa meupeeee lakini kinachompata sasa anajuuta. Anaumwa meno kiasi kwamba analazwa kbs karibu kila mwezi
 
Uchunguzi unaonesha asilimia kubwa ya watanzania meno yetu hayang'ai sana lakini wapo wachache meno yao ni meupe sana.

Jiangalie mwenyewe na uniambie upo kwenye kundi gani? Kisha niambie je unaamini ni asili tu ya meno kutokua na weupe unaon'gaa au kama sio nini tufanye ili kun'garisha meno yetu kwa anae fahamu tiba yake.
 
Ukiwa mdogo unakuwa na meno mazuri meupe, ukikua ukaanza kula vitu vingi vingi na mswaki mara moja kwa siku daaah meno yanaanza kupoteza mvuto na hatimae yanakaa hivyo hivyo. Mwenye ujuzi wa kuyarudisha kwenye ueupe alete hapa
 
Mwone Dr wa meno kila baada ya miezi sita, ukishindwa mara moja kwa mwaka. Hii ni kwajili ya kusafisha meno na kuangalia matatizo mengine.

Punguza vyakula na vinywaji vinavyo badilisha meno rangi.

Safisha meno mara mbili kwa siku, wekeza kwenye dawa nzuri ya meno.

Wengi wetu tunasukutua baada ya kuswaki. ..hiii huondoa nguvu ya dawa kufanya kazi.
Acha kusukutua, tema tu dawa/mapovu Safisha mdomo kwa nje kazi imeisha.

Huu ndio utaratibu wangu binafsi, mimi sio Dr wa Meno.
 
Dawa za meno zina kemikali aina ya fluoride ambazo huweza kuozesha viungo ndani ya mwili baada ya muda fulani nmesahau specifically ni vipi (fuatilia uvijue) hivyo si vizuri kuacha kusukutua dawa maana italeta madhara baadae itakapo ingia mwilini.
 
Nashukuru kwa kuliweka hilo wazi.
Kwenye upigaji wa mswaki tunazingatia kiasi cha dawa na pia muda wa upigaji. ...niliposema usisukutue nilimaanisha unahakikiksha umetema dawa yote na pia umepitia hatua ya kusuuza mswaki na kutumia ule mswaki wenye maji maji kusungua tena. ...

Iwapo utafanya hivi hutabakiza kiwango kikubwa cha floride between teeth na Iwapo utasukutua kwa kujaza maji mdomoni utakuwa umeimaliza yote na hapo ndio tunapokosea.
 
Cjawahi kwenda kusafisha meno kwa daktari wa meno kama ww umewahi je inagharimu bei gan?
 
Inategemea unaenda kwa dentist yupi....nilishawahi kwenda pale posta mpya,Peugot house...niliktumia kadi ya Jubilee,ilikua around 200K hivi(though ilikua na kuziba jino)
 
Dawa za meno zina kemikali aina ya fluoride ambazo huweza kuozesha viungo ndani ya mwili baada ya muda fulani nmesahau specifically ni vipi (fuatilia uvijue) hivyo si vizuri kuacha kusukutua dawa maana italeta madhara baadae itakapo ingia mwilini.
Nina dawa ya meno isiyo na fluoride, kwahiyo ni salama
848bcc9ada1ffdb60f46179cecac29dc.jpg
 
Mwone Dr wa meno kila baada ya miezi sita, ukishindwa mara moja kwa mwaka. Hii ni kwajili ya kusafisha meno na kuangalia matatizo mengine.

Punguza vyakula na vinywaji vinavyo badilisha meno rangi.

Safisha meno mara mbili kwa siku, wekeza kwenye dawa nzuri ya meno.

Wengi wetu tunasukutua baada ya kuswaki. ..hiii huondoa nguvu ya dawa kufanya kazi.
Acha kusukutua, tema tu dawa/mapovu Safisha mdomo kwa nje kazi imeisha.

Huu ndio utaratibu wangu binafsi, mimi sio Dr wa Meno.
Mmmh! Hujasema tusukutue baada ya muda gani? Inamaana unaweza piga breakfast bila kusukutua?
 
Back
Top Bottom