mawazo mgando hayo! unafikiri kuwa na elimu kubwa ndio kutoa mchango mzuri bungeni? uongozi ni kipaji pia kama vilivyo vipaji vya soka.Wabunge wengi kutoka Zenji wana elimu ndogo sana lakini angalia jinsi wanavyojua kujenga hoja na kutetea maslahi ya Wazanzibar.
Kumbuka ha Rostam na Dewji ni wasomi lakini umeshawahi kuskia michango yao bungeni?
unajua kuwa chenge kasoma wapiI? Chuo gani? Jibu unalo lakini elimu ni muhimu pia
Mkuu vp maneno makali kwani nawewe ni mbunge poa?mawazo mgando hayo! unafikiri kuwa na elimu kubwa ndio kutoa mchango mzuri bungeni? uongozi ni kipaji pia kama vilivyo vipaji vya soka.Wabunge wengi kutoka Zenji wana elimu ndogo sana lakini angalia jinsi wanavyojua kujenga hoja na kutetea maslahi ya Wazanzibar.
Kumbuka ha Rostam na Dewji ni wasomi lakini umeshawahi kuskia michango yao bungeni?
Chadema walishaliona hilo na wameanzia kwenye viti maalumu mchuano ulikuwa mkali kwa kuwa higher marks was the factorWabunge wengi hasa wa CCM hawana viwango, tunajipa moyo tu kutokana na mchakato wenyewe wa kuwapata hugubikwa na vioja vya rushwa, matumizi ya nguvu, udini, fitna, uzushi, wizi wa kura, ushirikina etc
Yaani asilimia zaidi ya 8O% ya wabunge wa CCM ni bomu linalosubiri nguvu ya mabadiliko kuliteketeza.
mawazo mgando hayo! unafikiri kuwa na elimu kubwa ndio kutoa mchango mzuri bungeni? uongozi ni kipaji pia kama vilivyo vipaji vya soka.Wabunge wengi kutoka Zenji wana elimu ndogo sana lakini angalia jinsi wanavyojua kujenga hoja na kutetea maslahi ya Wazanzibar.
Kumbuka ha Rostam na Dewji ni wasomi lakini umeshawahi kuskia michango yao bungeni?
I support you, wabunge kama Lusinde ni aibu kwa taifa, eti naye yuko mjengoni !
Amesoma LLB ktk moja ya vyuo vikuu bora duniani(HAVARD) yeye na former secretary wa EAC hon.mwapachu.