Kijana leo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 2,860 Reaction score 812 Apr 19, 2012 #1 Haya mambo ya kila mtu kuandika kitu chake bila source, hasa aya ya kuhama kwa wanachama tuwe makini, mara 2000 wamehama chama hiki, 1560 wamehama chama kile, tunafurahi kupata habari humu ss tuwe tunathibitisha.
Haya mambo ya kila mtu kuandika kitu chake bila source, hasa aya ya kuhama kwa wanachama tuwe makini, mara 2000 wamehama chama hiki, 1560 wamehama chama kile, tunafurahi kupata habari humu ss tuwe tunathibitisha.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,373 Apr 19, 2012 #2 Kwahiyo unashauri iweje?