Fernandes Rodri
JF-Expert Member
- Apr 11, 2009
- 519
- 264
........Matapeli wanawapigia simu za kuwatisha wafanyakazi wa Serikali kwamba wao ni maofisa usalama wa taifa na wameona mafaili yao ni machafu hivyo wanashawishi wawasaidie ili wayasafishe kwa kuwahonga.......
Wadau kuna utapeli mpya ambao unafanana na blackmailing kwa wafanyakazi wa Serikali, wafanyabiashara na watu wengine.
Matapeli wanawapigia simu za kuwatisha wafanyakazi wa Serikali kwamba wao ni maofisa usalama wa taifa na wameona mafaili yao ni machafu hivyo wanashawishi wawasaidie ili wayasafishe kwa kuwahonga.
Wafanyabiashara wanatishwa kwamba wanakwepa kulipa kodi na wakigundua una fedha wanaweza kukuteka.
<br />Huu utapeli wa kizamani.....sioni cha kutisha hapo!
Mbinu ya kizanamani sana. Ilibuniwa na kutumiwa sana na Edgar Hoover, Mkurugenzi wa FBI aliyekalia kiti hiki kwa muda mrefu zaidi kuliko mwingine yeyote yule. Kila ilipoelekea kukumbushwa kustaafu, yeye alikuwa anawa time na kuwa-blackmail wahusika kwa kuwaeleza kuwa alikuwa anapitia mafile yao siku chache na amebaini machafu mengi. Kwa kuogopa kuumbuliwa wakuu wake walikuwa wanagwaya kumstaafisha.
Wakikudai hela waambie waje wachukue kisha unawafungashia OMO ya kwenda kusafishia hayo mafaili
..Sure..Sure...!!!:biggrin1:😛ound:Waambie wanipigie!
Huna hela wewe, hivo vijisenti vya posho za ccm vinakutosha wewe tu na mkeo, kiasi cha kauzu.Waambie wanipigie!
Hii nzuri sana.
Sasa kama wewe ni mfanyakazi wa serikali mtu akakupigia simu akakwambia ana faili lako chafu na wewe ni msafi unaogopa nini?
kama wewe ni mfanyabiashara mtu anakupigia simu anakwambia unakwepa kodi wakati wewe ni msafi unaogopa nini?
Mimi naona hao matapeli waaendelee kuwepo tu.
0713566872
Huna hela wewe, hivo vijisenti vya posho za ccm vinakutosha wewe tu na mkeo, kiasi cha kauzu.
Ni Jerry Moro "amefufuka" nini? Kwa sababu ndio zake hizi...hao jamaa inawezekana kweli wana wajua wanao wapigia simu kuwa ni wachafu na kweli wana data zote na ndio maana inakuwa raisi kupewa pesa, kamwe hawawezi kkumpigia mtu safi samu