Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,851
- 9,373
Mafwele Bado yuko hai. Kuweni makiniHabari
Kuweni makini member wenzangu kwa hali inayoendelea nchini ya kutekana kuwa mwangalifu na watu wanaokuja PM kama we ni mtu wa kuiponda serikali..
NB: Kinga ni bora kuliko tiba
Mafwele bado yupo uamzi ni wakoWasiwasi wako tu
Wasiwasi na uoga wako tu nchi ipo salama sanaMafwele bado yupo uamzi ni wako
Msema kweli 👊Utakuwa ni pimbi kama unaweza kuiponda serikali alafu ukifuatwa Pm unakuwa mwepesi kama pamba.
Kuna vitu hupaswi kufanya hasa huko pm, sio kwa wanaoikosoa serikali tu. Sio kila mtu ana wema ulionao wewe.
Ndoa za watu nazo ni sumu mbaya sana, biashara haram, dhuluma ni kati ya mambo ambayo yanahatarisha uhai. Yote haya chanzo ni tamaa, tujifunze kuzishinda tamaa zetu.
Naye siku zake zinahesabikaMafwele bado yupo uamzi ni wako
✊✌ tuishi humo kwenye ukweliMsema kweli 👊
🤞✊✌ tuishi humo kwenye ukweli
Eh au JPM kafufuka 😂 c mlisema ndie muongozaji wa utekaji, imekuwaje sasa n mwaka wa tatu ila bado utekaji upo 😂
Bado hawajasema 😂Jpm alisingiziwa na mengi mno asee na alipokufa watu walishangilia. Saivi wamesahau Tena wanalia na utekaji
Mission yakipindi kile jamaa achafuke! Kweli tukio kama la Lisu anaweza kuwa serkali yake ilihusika ila issue za utekaji,Mauaji na kuokotwa watu kwenye viroba yalilenga sana kuchafua serkali!Jpm alisingiziwa na mengi mno asee na alipokufa watu walishangilia. Saivi wamesahau Tena wanalia na utekaji
Hatari sana.Mission yakipindi kile jamaa achafuke! Kweli tukio kama la Lisu anaweza kuwa serkali yake ilihusika ila issue za utekaji,Mauaji na kuokotwa watu kwenye viroba yalilenga sana kuchafua serkali!
Ila huwezi kujua kuna uwezekano hata wahanga wakuuawa akina Soka,Ulomi na akina Sativa walikesha wakishangilia kifo cha JPM!
Hakika kifo kipo mlangoni tudumu katika sala!
Maana saivi watu wanakimbizwa kama kuku Ili watekwe. Niliona Ile jamaa anakimbizwa na police mnene Ili atekwe yaani ni sawa na kuku anavyokimbizwa Ili akachinjwe asee Kwa JPM sikuwahi ona utekaji wa hadharani namna ileBado hawajasema 😂
Dozi kwa dozi mpaka wamkubali JPM kuwa hakuhusika na yale mambo
Ila kuna ukweli sana kwa hilo! Maana mitandao inatufanya tuyasikie sana haya matukio lakini kipindi cha nyuma nchi nzima inasikiliza RTD huwezi kusikia!Haya mambo yamekuwa yakitendeka miaka na miaka , utofauti ni kwamba hivi sasa mitandao ya kijamii inatumika sana na taarifa zinakwenda kwa kasi ya mwanga....
Hakuna wakati mitandao inatumika zaidi kama hii miaka, walioshika mpini wanafeli, hizi mbinu old skuli, wanajiharibia, zama zimebadilika wabadilike.