kasangezi001
Member
- Jan 24, 2017
- 44
- 24
Mimi pia niliwahi kupata ujumbe kama huu toka no.0672285614 ila niliona hainihusu nikaichuniaSasa ndugu ile nafasi uliyoniomba ya kijana wako kujiunga na jeshi.(jwtz) imepatikana naomba leo mapema tuwasiliane kama bado unahitaji.
Nimepokea ujumbe huu kutoka namba 0754 437292 sijajibu wala kufanya chochote Kwani nimeona hainihusu kuweni makini
Sina Muda wa kupoteza na watu wa aina hii mkuuungepiga hiyo namba kwanza...ndio habari yako ingenoga
Sasa ndugu ile nafasi uliyoniomba ya kijana wako kujiunga na jeshi.(jwtz) imepatikana naomba leo mapema tuwasiliane kama bado unahitaji.
Nimepokea ujumbe huu kutoka namba 0754 437292 sijajibu wala kufanya chochote Kwani nimeona hainihusu kuweni makini
Pole yake. Link hiyoni kweli wakuu anko wangu kashaingizwa mjin kasafir mpaka Dodoma bahat nzr akutuma pesa alioambiwa
alibeba tranka mpaka dom aiseeePole yake. Link hiyo
TAARIFA KWA UMMAMimi ni jana tu wameituma kuja kwangu bandugu kuweni makini na hawa jamaa, sms yenyewe ndo [emoji116] [emoji116]