Mkuu, mbona napata kizungumkuti ili nimekalia kiti? Hebu fafanua angalau kidogo.
Maana ofisi ile chaja ziko peupe tena karibu muda wote zimechomekwa hata kama hakuna mtu anayechaji.
na hyo vibration means ... mh mimi nachoka kabisa.

Jamani mbona mimi sielewi? Inakuaje sasa hiyo vibration si mpaka mtu akupigie ndio ita vibrate na ukipokea vibrator inaishia hapo. Kaka Jambazi hebu tuelezee utafiti wako kwa kina.:clock:

Mh! kuna wakati nilimsikia daktari mmoja akielezea kuhusu simu kulipuka zikipata unyevunyevu, hasa za kichina, sasa kwa suala hilo duh, sipati picha. Mungu tunusuru, mweh:mmph: