Kuweni Makini na SD Card Fake

Kuweni Makini na SD Card Fake

Cardinalist

Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
43
Reaction score
8
Hasa kwa wenye simu za Android au
touchscreen.
Ukiona applications zinakuja na kupotea au simu ipo slow ujue tatizo ni sd card.
Tuwe makini kuepuka sd card za kichina
 
Utaitambuaje SD fake?maana karibu zote zimeandikwa made in China au PRC !
 
Kuna jinsi niliambiwa kutambua SD card feki. Nimesahau ngoja nimcheki tena jamaa then nitarudi kuwajuza.
 
Moderators,
Hii ni habari.
Ilipaswa kuwa jukwaa la habari na hoja.
Otherwise hakuna habari inayopaswa kuwa ktk jukwaa la habari
 
utaitambuaje mim mwenyewe ni mhanga nilinunua 2GB sd card
mara nikipiga picha inatoka na mistari mara nyimbo ina scratch from no where
nikanunua nyingine now fresh
 
Ni rahisi tu we nenda kwa muuzaji mwambie nataka memory card mfano 2gb atakwambia elfu 5 asa we mwambie mie nataka original tusije kukabana mashati baadae utasikha anakwambia nipe elfu kumi.UKIPENDA CHEAP HA HA UTALIA KWELI
 
Kwa wanaotumia smartphones nashauri watumie Micro SDHC zenye class 4 na kuendelea. Hakikisha unaponunua unapata lifetime warranty toka kwa muuzaji
 
search play store SD Insight itakuambia memory ya kampuni gani
 
Back
Top Bottom