Ukiwa unataka kujiunganisha na internet nzuri na yenye kasi ya ajabu ya hawa Eatel, utatakiwa kuchagua nchi. kwa bahati nzuri nchi yoyote utakayoichagua utaweza kupata net. Sasa kuna hizi nchi zenye Ebola kama Siera Lione. Usichague nchi hizi kwenye modem yako ukatuletea Ebola siee! Loooh.