Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,438 Reaction score 100,721 May 7, 2012 #1 Huyu HG baada ya kuchoka kumbembeleza akaamua amtulize kwa style ya pekee maana dogo alikua anapenda sana mgongo. Tuwe makini na hawa mabinti jamani Heri kama vipi uwabebe mwenyewe kama vipi ili uwe katika safe-side kama mama huyu hapa
Huyu HG baada ya kuchoka kumbembeleza akaamua amtulize kwa style ya pekee maana dogo alikua anapenda sana mgongo. Tuwe makini na hawa mabinti jamani Heri kama vipi uwabebe mwenyewe kama vipi ili uwe katika safe-side kama mama huyu hapa
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,438 Reaction score 100,721 May 7, 2012 Thread starter #2 Picha ya kwanza inasemekana ni tukio la kweli kabisa
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 May 7, 2012 #3 repetition
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 May 7, 2012 #4 Tripo9 said: repetition Click to expand... Sijui nimekosea spelling jamani, Dah! Haya ngoja nijarib tena "REPEATITION". Lakini bado sijiamini.....Ngoja nitoke nduki
Tripo9 said: repetition Click to expand... Sijui nimekosea spelling jamani, Dah! Haya ngoja nijarib tena "REPEATITION". Lakini bado sijiamini.....Ngoja nitoke nduki
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 8,094 Reaction score 7,853 May 7, 2012 #5 Tripo9 said: Sijui nimekosea spelling jamani, Dah! Haya ngoja nijarib tena "REPEATITION". Lakini bado sijiamini.....Ngoja nitoke nduki Click to expand... Repetition ndiyo sahihi
Tripo9 said: Sijui nimekosea spelling jamani, Dah! Haya ngoja nijarib tena "REPEATITION". Lakini bado sijiamini.....Ngoja nitoke nduki Click to expand... Repetition ndiyo sahihi