mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,317
- 57,077
KABISA RAHABU SH 10,000 UNAPATA GB 10 MWEZI NA HAZZZISHI MBAaaa mie ilimradi nimejiunga na kifurushi changu cha chuo mwezi basi
Mimi najiungaga hichi kifurushi 10GB, ila hazijawai kumaliza mwezi mi nashangaa..ni wiki mbili na nusu tuu wananiletea msg nimebakiwa na 0mb.
Inabidi uangalie vizuri maaana mimi ni kila mwezi najiunga na huwa nabakiza mb 1000 kufika tarehe niliyojiunga na data sizimi u tube kama ibadaMimi najiungaga hichi kifurushi 10GB, ila hazijawai kumaliza mwezi mi nashangaa..ni wiki mbili na nusu tuu wananiletea msg nimebakiwa na 0mb.
Sijui wananiibia.
Wana tupiga wengi.MB zenyewe hazikai mtandao umekuwa mzito..kama insta ukiwa na hizo MB 110.ndani ya saa 1 zimeisha.Pole sana Kiongozi.
Wanakuchukulia Mjingawewe
Kasi muhimu siunajua uchumi umebanavodacom kifurushi kisicho na kikomo dakika zinapukutika kama majani ya mti wakati wa kiangazi. hapa kasi tu
upo sahihi,yan mm najiunga mB 500, kwa sh 500,lakn znavoisha mungu ndio anajuaHabarini?
Hawa jamaa wa halotel wanachofanya si kizuri.
Leo mchana nilijiunga kifurushi cha mitandao yote cha 499 na cha MB 110 jumla ni sh 1000.
Sasa kwa bahati mbaya nilijiunga kifurushi cha halo tel kwenda halotel nilipo mpigia mtu wa tigo salio lilikata.
Nikapanic na kuangalia salio cha ajabu nikakuta kuna dakika 20 za halo tel kwenda halotel.
Lakini MB ZIPO 105.NI KASHANGAA.
imekuwaje MB ziwe 105 wakati nilijiunga kifurushi cha MB 110 na isitoshe nilijiunga kifurushi cha mitandao yote ( kwa bahati mbaya)na wakanipa MB 5.jumla zikawa MB 115.hizo MB 10 zimekwenda wapiii?wakati sikutumia internet ?nikagundua kwamba hawa jamaa wanatupiga juu kwa juu.unaweza ukajiunga kifurushi labda cha MB 300.wakakufanyia ujanja wakakupa 250.na vile watu tukisha jiunga bando tuna kimbilia moja kwq moja kuwasha data.ndo imetoka hyo.IMEKULA KWETU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi najiungaga hichi kifurushi 10GB, ila hazijawai kumaliza mwezi mi nashangaa..ni wiki mbili na nusu tuu wananiletea msg nimebakiwa na 0mb.
Sijui wananiibia.
TShs ngapi hicho cha Chuo cha Mwezi?Aaaa mie ilimradi nimejiunga na kifurushi changu cha chuo mwezi basi
Aaaa mie ilimradi nimejiunga na kifurushi changu cha chuo mwezi basi
Hauwezi kuyaona kirahisi.na jana niliwapigia customer care akasema ni kweli kuna MB 105.na hakuna matumizi niliyotumia.akasema atalifikisha kwa uongozi.Hivi hayo matatizo kwenye Halotel mbona wengine hatuyaonagi?