Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Inasemekana Steven Nyerere alikamatwa na polisi jana na baada ya mahojiano na polisi akawekwa ndani mpaka Sasa.
Wenye updates zaidi watujulishe.
Huyu si ndiyo anaongea na wakubwa huyu au si yeye! Inaonesha kuna mambo mengi sana anayajua huyu maana nimeyasikiliza kwa makin sana maelezo yake kwenye maongezzi na mama wema kama kweli ni yeye lakin.
Inasemekana Steven Nyerere alikamatwa na polisi jana na baada ya mahojiano na polisi akawekwa ndani mpaka Sasa.
Wenye updates zaidi watujulishe.
mkuu, yale maneno ya Steve kwenye audio ni radi. establishment si tu kuwa imetikisika, ime-freeze kabisa!
Inasemekana Steven Nyerere alikamatwa na polisi jana na baada ya mahojiano na polisi akawekwa ndani mpaka Sasa.
Wenye updates zaidi watujulishe.
Mwigulu, Nape Samia wapigwe chini kama hiyo audio ni ya kweli
Fanyeni research kwanza. Sikuizi kuitwa na kuwekea ndami bil dhamana ni kitu cha kawaida serkal hiiOngoza nyama mkuu....au unatuachia tukafanye research wenyewe