Naomba mwenye best way ya kuinvest money na KUPATA hata 5% of it per month anisaidie maana nilijaribu kuweka tigo pesa kibubu tsh 300,000 TATU na KUPATA gawio la tsh 600 kwa mwezi.
Hapo tafuta biashara serious ufanye,
Ila kupitia uwekezaji wa bank na hizo acc, tegemea 10% annual return, ukijitahidi sana 15% annual ambayo ni sawa na 1% per month
Masoko ya fedha ni kwa ajili ya wenye hela nyingi, kuwekeza kwa muda mrefu.
Kama wewe ni mwekaji hela chache na kwa muda mfupi, soko la hela halitakunufaisha.